Agosti katika machupa

Агаша
Bila wewe ninazitia siku
Katika machupa ya bilauri yaliyopetwa,
Katika kila chupa naandika siku na mwezi
Aidha ninayaondoa katika giza..
Pengine itakuwa mvinyo
Na pengini itakuwa maji..

..а ты не знаешь этот язык